Genesis 6:8-9

8 aLakini Noa akapata kibali machoni pa Bwana.

9 bHivi ndivyo vizazi vya Noa.

Noa alikuwa mtu wa haki, na mkamilifu miongoni mwa watu wa wakati wake, tena alitembea na Mungu.
Copyright information for SwhNEN